Vitu hivi ni akiba za data (sauti, video, picha, nukuu, n.k.) zilizokusanyiwa wakati wa kazi yangu ya kutengeneza kumbukumbu za lugha. Kwa kiasi kubwa, data zinapatikana huria na bure. Nataka kuwahamasisha watafiti 1) kuangalia hizi data wanaposoma uchambuzi niliyeandika mimi, pamoja na 2) kutumia hizi data kutengeneza uchambuzi upya wa kwao.
Griscom, Richard, and Andrew Harvey. 2020. Hadza: an archive of language and cultural material from the Hadzabe people of Eyasi (Arusha, Manyara, Singida, and Simiyu regions, Tanzania). London: SOAS, Endangered Languages Archive. Angalia Akiba
Harvey, Andrew. 2019. Ihanzu: an archive of language and cultural material from the Ihanzu people of Mkalama (Singida Region, Tanzania). London: SOAS, Endangered Languages Archive. Angalia Akiba
Harvey, Andrew. 2017. Gorwaa: an archive of language and cultural material from the Gorwaa people of Babati (Manyara Region, Tanzania). London: SOAS, Endangered Languages Archive. Angalia Akiba